DahDaah! Polee sana
Huwa inakutokea hiyo hali? Au leo ndiyo siku ya kwanza?
Leo mara ya kwanzaHuwa inakutokea hiyo hali? Au leo ndiyo siku ya kwanza?
Hiyo ya kubana pumzi haijakusaidia?Leo mara ya kwanza
Sawa, polee sanahapana nimetulia tu ngoja nijitulize kidogo, nikiondoka nakufika home akujibu , nipo masaa mawili tu
Yooh Mangi uko sawa sasa hivi, pole sana 🫂Nipo Road tena msituni,kwikwi inanisumbua leo mpaka mpaka mbavu zinauma, nimeshuka kwenye gari nimelala chini tu jamani😭😭
We ni chizi sana 🤣Maka yani nimerudia kusoma tena nacheka km chizi 😹😹😹
Wavuta wida wote peponi..!! 🤣
😂🤣🤣, nimerudia kusoma comment zakoUmenitia genye falah weeh!! 😹😹
Ngoja nihifadhi hii comment kwa matumizi ya baadae..!! 😹😹😹
Ila maka unaonekana una balaa km demu kala pesa yako baada ya show atakurudishia muamala..!! 🤣
Pole mzeeDah kwikwi ni noma leo imeninyoosha
Nimeshapoa bwashee , hata sijui ilitoka wapi?Pole mzee
Kwikwi ina sababu nyingi, kikubwa upo salama mzee.Nimeshapoa bwashee , hata sijui ilitoka wapi?
Duh ndio mara yangu ya kwanza , imenitesa mno bwasheeKwikwi ina sababu nyingi, kikubwa upo salama mzee.
Uuh pole aisehDuh mda sana , ile kitu noma nimeteseka mno
Sante sanaUuh pole aiseh
SawaSante sana
😹😹 Wavuta wida msikilizwe kwa wivu mkubwa..!!We ni chizi sana 🤣