Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wallah haki ya nani nilitoboa siri karibu zote na mimi nikilewa mdomo huwa hauna break,, japo pia mimi kunywa hadi kulewa ni mara chache mno na wala sina uraibu wa pombe kihivyo huwa sipendi kufikia hatua hiyo maana daah najijua..
Vipi kumukumbu pia hupotea ukilewa?
 
Wallah haki ya nani nilitoboa siri karibu zote na mimi nikilewa mdomo huwa hauna break,, japo pia mimi kunywa hadi kulewa ni mara chache mno na wala sina uraibu wa pombe kihivyo huwa sipendi kufikia hatua hiyo maana daah najijua..
Na ukinywa huwa mizuka ya kulika huwa inapanda asilimia ngapi? Ili siku nikutegea hahaha nile tunda kimasihara
 
Wallah haki ya nani nilitoboa siri karibu zote na mimi nikilewa mdomo huwa hauna break,, japo pia mimi kunywa hadi kulewa ni mara chache mno na wala sina uraibu wa pombe kihivyo huwa sipendi kufikia hatua hiyo maana daah najijua..
Huo mchanganyiko ni babu kubwa mpaka k vant na konyagi wewe ni mzoefu
 
Good morning JF
tapatalk_1575688814219.jpeg
 
Back
Top Bottom