😅😅 Wengine tumetenga siku maalumu, yani jumapili vyombo hadi natambaaa, sio kutembeaMe muda wowote nakunywa nikiwa na hamu.
😅😅 Wengine tumetenga siku maalumu, yani jumapili vyombo hadi natambaaa, sio kutembeaMe muda wowote nakunywa nikiwa na hamu.
😂😂😂😂Mim kutambaa hapana siwez😅😅 Wengine tumetenga siku maalumu, yani jumapili vyombo hadi natambaaa, sio kutembea
Ndio maana mala moya kwa wiki, aisee.. tukianza mchana hadi alafajiri au asubuhi.. yani unakuta siku ingine unalala getini alafu fresh 😅😅😅😅...😂😂😂😂Mim kutambaa hapana siwez
Kuna sehem nilikua nafanya kazi mkoani, basi bana wengi tumetoka mkoa tukimaliza kazi tunaenda kulewa, Kuna huyo mmoja wenzie walikua wanamkuta kalala chooniNdio maana mala moya kwa wiki, aisee.. tukianza mchana hadi alafajiri au asubuhi.. yani unakuta siku ingine unalala getini alafu fresh 😅😅😅😅...
😅😅😅 Namna hiyoo, kama hujawai kulala chooni, bafuni au kwa korido au mlangoni basi Badoo sanaaaKuna sehem nilikua nafanya kazi mkoani, basi bana wengi tumetoka mkoa tukimaliza kazi tunaenda kulewa, Kuna huyo mmoja wenzie walikua wanamkuta kalala chooni na asubuhi.
Mim labda kulala kwa jirani tu😂😂😂😅😅😅 Namna hiyoo, kama hujawai kulala chooni, bafuni au kwa korido au mlangoni basi Badoo sanaaa
Ongeza ongezaaa, maisha yenyewe haya hayaaa.. unapiga vitu Hadi unaona upo ulimwengu mwingine 😅😅😅😅.. zamani ndio tulikuwa unapiga vitu plus shishaa sijui walikuwa wanawake nini khaaaMim labda kulala kwa jirani tu😂😂😂
Swadakta, Mashalaah
Hi kaka TresorSwadakta, Mashalaah
HahahahahaKuna sehem nilikua nafanya kazi mkoani, basi bana wengi tumetoka mkoa tukimaliza kazi tunaenda kulewa, Kuna huyo mmoja wenzie walikua wanamkuta kalala chooni
MamboHi kaka Tresor
Oooh safi sana,karibu jirani,kuna room ya wageniMim labda kulala kwa jirani tu😂😂😂
Mi shishaa hapana aiseh ila kulewa hadi nizime pia hapanaOngeza ongezaaa, maisha yenyewe haya hayaaa.. unapiga vitu Hadi unaona upo ulimwengu mwingine 😅😅😅😅.. zamani ndio tulikuwa unapiga vitu plus shishaa sijui walikuwa wanawake nini khaaa
Mrembo km wewe kulewa na kuzima sio poaMi shishaa hapana aiseh ila kulewa hadi nizime pia hapana
Kabisa kaka anguMrembo km wewe kulewa na kuzima sio poa
haha! shisha walikuwa wanaongeza vitu vyao, plus maji ... aiseee, ila sasa hivi tumebakiza maji, ile unayachapaa kama hujazima, mida ya kajua unawaambia wakuwekee kakiti juani huku unamalizia chupa zilizobaki, mda mwingine ndio unalala na hapo hapoMi shishaa hapana aiseh ila kulewa hadi nizime pia hapana
Asante sana niko njiani hivo😂😂Oooh safi sana,karibu jirani,kuna room ya wageni
Safi,week end hii karibu, mdg wangu upate mbili baridi,mbili motoKabisa kaka angu
Karibu😂 sana,karibu mgeniAsante sana niko njiani hivo😂😂