Sijambo vipi hali yako?Marhaba hujambo dogo?
Niko pouwa..!!Sijambo vipi hali yako?
Am gladNiko pouwa..!!
Semi red sweet wine😋😋View attachment 3280743Jumapili tulivu
kamnyweso😁View attachment 3280743Jumapili tulivu
Naamkamnyweso😁
chief si uachie 1 back in the days!Once upon a time....!!
Hivi Intel kabla ya hii username ulikuwa unajiitaje?chief si uachie 1 back in the days!
NIli Anza Kama intelli, na nita kuwa intelligent hadi mwisho.Hivi Intel kabla ya hii username ulikuwa unajiitaje?
Mkuu kwanini Ume ulizia hivyo?, wani fananisha na nani huko daslam😁Hivi Intel kabla ya hii username ulikuwa unajiitaje?
Hahah, kuna jamaa nimesahau id yake. Alikumbwa na vikashfa vya hapa na pale akapotea.Mkuu kwanini Ume ulizia hivyo?, wani fananisha na nani huko daslam😁
Hahah humu unaweza kuta ID mpya unaikaribisha kumbe ni mtu mzoefu zaidi yako.Hahah, kuna jamaa nimesahau id yake. Alikumbwa na vikashfa vya hapa na pale akapotea.
hahaha sio mimi chief.Hahah, kuna jamaa nimesahau id yake. Alikumbwa na vikashfa vya hapa na pale akapotea.