Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio maana mala moya kwa wiki, aisee.. tukianza mchana hadi alafajiri au asubuhi.. yani unakuta siku ingine unalala getini alafu fresh ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…...
Kuna sehem nilikua nafanya kazi mkoani, basi bana wengi tumetoka mkoa tukimaliza kazi tunaenda kulewa, Kuna huyo mmoja wenzie walikua wanamkuta kalala chooni
 
Kuna sehem nilikua nafanya kazi mkoani, basi bana wengi tumetoka mkoa tukimaliza kazi tunaenda kulewa, Kuna huyo mmoja wenzie walikua wanamkuta kalala chooni na asubuhi.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Namna hiyoo, kama hujawai kulala chooni, bafuni au kwa korido au mlangoni basi Badoo sanaaa
 
1000083402.jpg
 
Mi shishaa hapana aiseh ila kulewa hadi nizime pia hapana
haha! shisha walikuwa wanaongeza vitu vyao, plus maji ... aiseee, ila sasa hivi tumebakiza maji, ile unayachapaa kama hujazima, mida ya kajua unawaambia wakuwekee kakiti juani huku unamalizia chupa zilizobaki, mda mwingine ndio unalala na hapo hapo
 
Back
Top Bottom