Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,245
- 90,421
Hahahahaha,ukifika press kengele nakuja kufunguaAsante sana kaka angu weekend niko getini hapo.
Hahahahaha,ukifika press kengele nakuja kufunguaAsante sana kaka angu weekend niko getini hapo.
Sawa yani asubui tu nitakua hapoHahahahaha,ukifika press kengele nakuja kufungua
Hahahahaha,wewe tu,muda wowote unakaribishwaSawa yani asubui tu nitakua hapo
haha! shisha walikuwa wanaongeza vitu vyao, plus maji ... aiseee, ila sasa hivi tumebakiza maji, ile unayachapaa kama hujazima, mida ya kajua unawaambia wakuwekee kakiti juani huku unamalizia chupa zilizobaki, mda mwingine ndio unalala na hapo hapo
Shisha mim hapana kwakweli 😂😂😂haha! shisha walikuwa wanaongeza vitu vyao, plus maji ... aiseee, ila sasa hivi tumebakiza maji, ile unayachapaa kama hujazima, mida ya kajua unawaambia wakuwekee kakiti juani huku unamalizia chupa zilizobaki, mda mwingine ndio unalala na hapo hapo
Asante sana kaka TresorHahahahaha,wewe tu,muda wowote unakaribishwa
Ahsante na wewe ,Rafiki LovelovieAsante sana kaka Tresor
Ahsante na wewe ,Rafiki Lovelovie
Nasubiri nikifisha 50 , niache nianze kuswali 😎Shisha mim hapana kwakweli 😂😂😂
Wewe usyakua gwiji.
Hebu selfika ,saa hz wamelalaSawasawa
Sina picha mpya ngoja nikutumie yoyote nitakayopata😊😊Hebu selfika ,saa hz wamelala
Wewe huyo thubutu utakua ushakua mzoefuNasubiri nikifisha 50 , niache nianze kuswali 😎
Itakua vzr ukanitag kbs kwa msisitizoSina picha mpya ngoja nikutumie yoyote nitakayopata😊😊
ahaha! muhimu kumrudia Mola aiseee, hapa nimebakiza miaka mitano tu, nitundike darugaa.. maana na nguvu zitakuwa zimeniishiiaa.. uzuri walevi hatuna dhambi zingine zaidi ya kulewa kwanza tupo wapole sana hatupendi maneno manenoWewe huyo thubutu utakua ushakua mzoefu
Eeeeh kwa hiyo uko na 45😳😊ahaha! muhimu kumrudia Mola aiseee, hapa nimebakiza miaka mitano tu, nitundike darugaa.. maana na nguvu zitakuwa zimeniishiiaa.. uzuri walevi hatuna dhambi zingine zaidi ya kulewa kwanza tupo wapole sana hatupendi maneno maneno
😁😁😁SawaItakua vzr ukanitag kbs kwa msisitizo
Waoh 😋 umependeza sana ,Rafiki
Asante kakaTresorWaoh 😋 umependeza sana ,Rafiki
Nimeona, niseme wewe ni mrembo Rafiki😁😁😁Sawa
Hatari aisee, ndio maana wengine tuliamua pombe maana wazuri nyie aiseee