Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Msimu wa mvua Nyakiboooo ni kulima mwata tu . 🕺🕺😁😁
Tuna implement Nyerere's philosophy of EK🤭

Happy Nyerere day wapendwaa!
Msimu wa mvua Nyakiboooo ni kulima mwata tu . 🕺🕺😁😁
Tuna implement Nyerere's philosophy of EK🤭

Happy Nyerere day wapendwaa!
Naaam naaam saafi saana
Mnywani huko mnalima cha arusha nn? Yakkikomaaa nitumie mimi huku daslam
 
Alafu Yani hiyo juu ni Nazi na sukari Yani vinalelea amwali hatari [emoji3][emoji3][emoji3]
Shangaziii wee unapikaa unazidisha vikolombwezo, wallah mie hapo natapikaa kabisaaa.
Doooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thanks.

Picha unaselfika lini?? Nimemmiss kukuona
Mbonaa nilikuambiaa, wee ukiwekaa pichaa yako hapaa.
Mie nawekaa full nzima, natoa sintofahamu iliyokooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom