Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,925
Mimi vyote cha uvivu ila nikikuta vyombo vichafu nafoka balaa ๐น๐น๐น๐๐๐
Mimi kupika tu
Kuosha vyombo aaaahhh!
Mimi vyote cha uvivu ila nikikuta vyombo vichafu nafoka balaa ๐น๐น๐น๐๐๐
Mimi kupika tu
Kuosha vyombo aaaahhh!
Timu mbovu hiyo mkuuu๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ weusii hatuna Gere kama unavaa mewani usione Gere weusi hatuna Gere ๐๐๐ ๐
View attachment 3123818
Hahaha we unataka chino akiwa shamba?Haya tupia nataka kulala ๐น
Naam kakaTimu mbovu hiyo mkuuu
Mwili hujengwa na misosi...
Mzeee Yule Askari anataarifa umerudi nyanda za juu ?? Yuleeee afisaaa... Hope umemkumbuka
Chino leo dada yako kanywa kimpumu? ๐น๐นHahaha we unataka chino akiwa shamba?
Hivi pm ushafungua eh? au ndo bwana jela kaondoka nafunguo
Nifungulie Banda banaChino leo dada yako kanywa kimpumu? ๐น๐น
Sijamzoea shangazi akiwa hivi kabeesaaa.!!
Experiance ndani ya jeZi sio poa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mzee Naona amekumbuka,
Unajua maafande wapo vyeedi
Ngoja nianze kuangaza angazaa Kama kuna afande humu mtag....Experiance ndani ya jeZi sio poa
Mkuu
Kismayo hatari na nusu๐Hahah, haiwezekaniii
Kumbe sio mahala pa masihara kutoboa?
Na ni ilikuwa Mogadishu au kipande gani?
Inshaalah kipenzi itakuwa๐Mpendwa๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Sisi wengine tunafukuzia ofa za precision Kwa Shabiby ili tukwee pipa