cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,169
Hayaa wekaaa hapaaa sahiviii, niko pekee angu.Mimi niliweka Jana hapa.
Sijui ulikuwa online?
Hayaa wekaaa hapaaa sahiviii, niko pekee angu.Mimi niliweka Jana hapa.
Sijui ulikuwa online?
Kuna watu hawapo sasa hivi kidoogo una amani😂😂kwani imekuajeeee? Woooiiiiiih
B money huwa mnafanyaje fanyaje mshale unakaa kwenye F?😂😂F Challenge Accepted RRONDO View attachment 3124444
Mm sijaona jmnMimi niliweka Jana hapa.
Sijui ulikuwa online?
Niliwasikia wamakua ni mwanamkeAmwali ndio nini?
😂😂😂😂Hayaa wekaaa hapaaa sahiviii, niko pekee angu.
Shemeji umetembelea, ukahakikisha inaenda kusoma E. Ndiyo ukapiga picha. Haikubaliki hii challenge ya kucheat😅😅😅😅B money huwa mnafanyaje fanyaje mshale unakaa kwenye F?😂😂
Ikija challenge ya E ntakuwa sina mpinzani, hali yangu ni mbaya mnoo😂
View attachment 3124638
Hayo ndio maisha ya kila siku😂Shemeji umetembelea, ukahakikisha inaenda kusoma E. Ndiyo ukapiga picha. Haikubaliki hii challenge ya kucheat😅😅😅😅
Katika vitu napenda, gari liwe safi na mafuta yawe F tank. Ikisogea tu kidogo niko PUMA. Countrywide
Mie nachekagaaaa tyuuuh,Kuna watu hawapo sasa hivi kidoogo una amani![]()







😂😂😂ngoja kwanza nitupie pamba kali KaliSelfika Shemeji😂😂
Mnatuletea challenge kubwakubwa hizi
Tutawajibuje sasa
Sisi wa kimataifa zetu za dagaa bwana
Hamna ni kama ugonjwa kwangu, ikipungua hiko kimstari kinachofata, najikuta nimeenda. Na naweka kituo kimoja tu kwa miaka yote. Kwasababu linajaa kwa laki 2 na 10. So kila wiki najazia kwa laki kwa hii. Usisubiri ishuke sana shemeji.Hayo ndio maisha ya kila siku😂
Hiyo F haiwezekani kwangu aisee, ilishashindikana
Wewe boss mkubwa lazima wese liwepo Full muda wote😂
Ulikosa amani kabisa, unaogopa kuibiwa😂Mie nachekagaaaa tyuuuh,![]()
Ulikosa amani kabisa, unaogopa kuibiwa![]()





Hongera sana B money😂Hamna ni kama ugonjwa kwangu, ikipungua hiko kimstari kinachofata, najikuta nimeenda. Na naweka kituo kimoja tu kwa miaka yote. Kwasababu linajaa kwa laki 2 na 10. So kila wiki najazia kwa laki kwa hii. Usisubiri ishuke sana shemeji.
😂😂😂
Wee Cantrii, usitakee nivunjike mbavu mie, sasa nna cha kuibiwa humu?