Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,317
Wanasema kuangalia Jinsia tofauti ni tiba...Hawa watoto wa 2000 kwako si vilembwe hawa mzee.
Haha wazee wa sasa hivi mi nilidhani utaishia kwenye 199s
Wakati tunasoma Shule za boys tupu miaka ile, tulikuwa tunaletewa girls kutoka Shule za wasichana tupu ili walau tucheze nao Muziki..
Kwa kuwaona vile tu, unakuta ghafla umepona 🤗