Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sele yeye ni kumCC tu shangazi
Kumpeleka shishi food siyo shida zake .
Kw tumavyomjha shangazi,,akienda shishi food tutakoma na mapichapicha

Robo ya utumbo elfu2
Shangazi ananyunyiza dagaa kwenye ndizi jamani😀😂
🤣🤣🤣🤣
Hivi ni robo elfu 2 sio elfu 3? 🤣🤣🤣
Sele kazidi ubahili sasa kweli mtori wa dagaa kauzu anamlisha mwenzie??

Shangazi ampige chini mwanaume gani kazi y’a Cc tu huduma zero 😹
 
Mekumbuka ile meme mtoto katumwa dukani
Kiberiti mia chenji irudi

Ukipita usiku unaweza dhani shangazi ananena kwa lugha
Anavyojisemesha
...
Machawa wanapunguzaga mtu kujisemesha
😂😂😂😂
Nkamu kwahiyo shangazi ananena kwa lugha? Hajareeee wala neneee 😹😹

Ila shangazi bana ananipa raha sana, yeye akiona Cc km kaona dollars ananenepa kwa raha zake..!
 
🤣🤣🤣🤣
Hivi ni robo elfu 2 sio elfu 3? 🤣🤣🤣
Sele kazidi ubahili sasa kweli mtori wa dagaa kauzu anamlisha mwenzie??

Shangazi ampige chini mwanaume gani kazi y’a Cc tu huduma zero 😹
Kabisa aisee
AnamCC tu bila hela
Hii haitakiwi

Shangazi yetu is too good to eat small fish na matoke
 
😂😂😂😂
Nkamu kwahiyo shangazi ananena kwa lugha? Hajareeee wala neneee 😹😹

Ila shangazi bana ananipa raha sana, yeye akiona Cc km kaona dollars ananenepa kwa raha zake..!
Anawapigaga mkwara wakina wanaman
Eti hajaree

Muongo
Hawakumuona kipindi ana machawa alivyokuwa anatamba
 
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu ni zaidi ya Beyonce kudadek
Lamomy sasa nakuelewa
Kwanini top1 hadi 3 ulimpa kapeace🔥🔥🔥

Pisi imesimama
Aiseeeee
Mzuri🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom