Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,234
Mekumbuka ile meme mtoto katumwa dukaniNkamu ntakudunda 🤣🤣🤣
Yani nimecheka khaaaa.!!
Shangazi anajisemesha km mtoto katumwa dukani.! 😹😹😹
Kiberiti mia chenji irudi
Ukipita usiku unaweza dhani shangazi ananena kwa lugha
Anavyojisemesha
...
Machawa wanapunguzaga mtu kujisemesha