Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Long weekend out of town...
20241012_150637.jpg
 
Anawapigaga mkwara wakina wanaman
Eti hajaree

Muongo
Hawakumuona kipindi ana machawa alivyokuwa anatamba
Thubutuuu.!! 🤣🤣🤣

Yeye shanga atulie sisi ndio wanajeshi wake wa vita na hili analijua vizuri labda km anajizima data…!!
Waasi walikuwa wanaenda kumpoteza na huyo sele asingerudi.. em kwanza atulipe NSSF zetu 😹😹😹
 
Kumbe na wewe ni shahidi eeh nilivyokuwa chawa mpambe wa mnywani wako😂😂😂
Afu sahivi anakudanganya eti jeshi la mtu mmoja bila backup

Haya
Tupia basi nikuone.
Vita zishaisha,amani imetawala
Waliogombana washayamaliza
Halafu ss hivi si tunachangamsha kijiwe, tumeokoka nkamu gwangu si eti? 😹😹😹

Na tunapambana kumrudisha shangazi sokoni 🤣😹
 
Thubutuuu.!! 🤣🤣🤣

Yeye shanga atulie sisi ndio wanajeshi wake wa vita na hili analijua vizuri labda km anajizima data…!!
Waasi walikuwa wanaenda kumpoteza na huyo sele asingerudi.. em kwanza atulipe NSSF zetu 😹😹😹
Tarehe hizi shangazi anatoa wapi Hela?
Au za uandikishaji daftari la wapiga kura.
 
Halafu ss hivi si tunachangamsha kijiwe, tumeokoka nkamu gwangu si eti? 😹😹😹

Na tunapambana kumrudisha shangazi sokoni 🤣😹
Sisi walokole VIP kabisa
Pamoja na Auntie kukodi ID kutuchafua ila bado tupo kumrudisha kwenye ramani...
Huu ni Upendo wa hali ya juu sana.
 
Back
Top Bottom