Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,042
- 64,432
Nimekula chumvi nyingi ujue, hadi Mvi zimeamua kujenga urafiki na Mimi 😜Kwa uzee gani ulionao jamani halafu toka nizaliwe sijawahi kukiona kiko😀
Ukifika Dukani waoneshe hii picha hapa Chini, waambie Babu yangu anaomba hiki kifaa cha kuvutia tumbaku 🤗