Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,817
kabla ya vita ya mashariki ya kati kuzuka nilikua mtupiaji mkuu sana humu ujue.Kweli wewe mtata😂
Hivi unajua picha yako sijawahi kuona
Tupia na mimi nitupie kitambi changu
Sema ulikuwa busy ukimpatia silaha Israel avishambulie vikundi vya ugaidi vya Hezbollah na hammas