Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,235
Shangazi alikuwa anashambuliwa hadi tunaingilia katiNyie mlikuwa mnaplay team zote 😂😂
Mi nilisimama naye mpk kamrudisha sele kwapani..!
Nipewe mafao yangu kwakweli 😹
Mimi nilikuwa timu yake mzalendo kabla hajatuvuruga