Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,854
Monk kasema mzigo tayari katuma fanya unipe mahi dhuluma sio nzuri 😹😹😹Halafu wanaokumbukwa ndo wanapataga nyingi ujue kuliko wale wanaopewa
Monk kasema mzigo tayari katuma fanya unipe mahi dhuluma sio nzuri 😹😹😹Halafu wanaokumbukwa ndo wanapataga nyingi ujue kuliko wale wanaopewa
Huwezi amini sijamuona mpaka saiv nakaribia kufunga na geti languMonk kasema mzigo tayari katuma fanya unipe mahi dhuluma sio nzuri 😹😹😹
Nkamu hapana mi nimefukuza mpk babu miga na mabakuli wabishi wale..! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nkamu
Kwa mafao nadhani mimi nimekuzidi aiseee
Ndio njoo ule 😎Kwa hiyo bro, crispy fish fillet ndo hizoo 🤣🤣🤣
NkamuNkamu hapana mi nimefukuza mpk babu miga na mabakuli wabishi wale..! 😂😂😂
Haya waasi miaka nenda rudi alikuwa anachuana nao lkn wapi?!! Mi nimefika nimetimua wote… na shemeji nimemrudisha famchezo 🤣🤣🤣
Mafao yangu makubwa hata shangazi analijua hilo
Umekumbuka kumeza dawa za kisukari na presha!Nimeshalala mjukuu wangu
Nyie mlikuwa mnaplay team zote 😂😂Nkamu
Sisi tulikuwa naye bega Kwa bega wakati anapambana kurudisha majeshi
😂😂😂 Ila monk nilivyomshawishi kapeace afungue pm na ujeuri wake halafu unajishaua?!! Em nilipe kwanza ndio ulale 😹Nimeshalala mjukuu wangu
Babu yakko muoga huyo kanizidi mbali, tumuache nitamcheck kesho asije kupandisha presha bure😂😂😂 Monk ameanza lini utapeli
Yani nilivyompigia debe mpk umefungua pm halafu hajakutafuta kweli? 😹😹😹
J'3 jeuri zinarudi kama kawa wiki hii wamepumua kina mwanafulani😂😂😂 Ila monk nilivyomshawishi kapeace afungue pm na ujeuri wake halafu unajishaua?!! Em nilipe kwanza ndio ulale 😹
Naangaliaje wakati mm ndio nacheza hizo😁😁Countrywide njoo tuangalie x punguza dislike 🤣🤣🤣
Wee muache asije kurudi hapa aombe kufunguliwa pm 😂😂J'3 jeuri zinarudi kama kawa wiki hii wamepumua kina mwanafulani