Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi Bantu ana haja ya Tiz kweli!?
Asituangushe

Tunasubiri picha
Comedian wake tumefikaπŸ”₯
Bantu Lady
Atakuwa anaandaa pic konki ya kunyakua kombe, akishinda boss tutapata vocha za million kila mmoja nkamu πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila kwa shangazi ndizi na dagaa zinatuita 😹
 
Sasa hadi wanaume wanafunga pm?? Wanaficha nini? Wanawake sawa tena inatakiwa yawepo makomeo ya kutosha
 
Hivi Bantu ana haja ya Tiz kweli!?
Asituangushe

Tunasubiri picha
Comedian wake tumefikaπŸ”₯
Bantu Lady
Ila nyinyi watu, mbavu zangu jamani. 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mna nini lakini? Sijui maneno yanatoka wapi? Halafu wachochezi hao πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hatuselfiki leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…