Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,854
Nifundishe bana 😹Hahaha acha ukorofi basi.
Nifundishe bana 😹Hahaha acha ukorofi basi.
Na mimi naomba kijora cha kuombea rejeshoOdo akupe gari moja anayo mengi kapaki hayatumii.!
Kkoo unafanya nini na joto lote hili?
Njoo nikupe kijora umpelekee mama 🤣🤣🤣
Nakutumia location sawa?! 😜
hahahaWewe ndio unamfundisha shangazi atushtaki kwa Mungu 😂😂😂
Yani sisi tunamsifia wewe unampanga atuteketeze chino Ntakuchapa
Bff ulikopa wapi?Na mimi naomba kijora cha kuombea rejesho
Weeh nna mkanda wa boxer shauri yako 😹😹hahaha
Mtoto mzuri acha patulie bana.
Ulivyo kazuri na kupenda vita sasa.
Siku utakunyugwa
Sema siwezi kukuacha
Ulivyonahasira si utawaangamizaNifundishe bana 😹
Koteeee....yaani hapa nikiona IST natimua mbio najua ni watu wa OYA wamenifata 🤣🤣🤣😍Bff ulikopa wapi?
Kausha damu au pichu mkononi? 😂😂
🤣🤣🤣Ulivyonahasira si utawaangamiza
Na mashetani yako yakikupanda hakuna wa kukutuliza. Mi mwenyewe hapo Huwa nakunyari.
Cha kisomali eh?Odo akupe gari moja anayo mengi kapaki hayatumii.!
Kkoo unafanya nini na joto lote hili?
Njoo nikupe kijora umpelekee mama 🤣🤣🤣
Nakutumia location sawa?! 😜
🤣🤣🤣 Nasikia hao OYA wanadai km una mimba unajifungua kabla y’a siku zako.!!Koteeee....yaani hapa nikiona IST natimua mbio najua ni watu wa OYA wamenifata 🤣🤣🤣😍
Limeisha chino wangu 😍Cha kisomali eh?
Fanya ivo,
Sure🤣🤣🤣
Chino mi sinaga hasira hapa napatumia kuburudika km hivi wala sipachukulii serious bana.!!
Huu Ulimwengu wa fake I’d ni sehemu ya kutolea stress ukiona unalala unawaza ya huku ujue una tatizo inatakiwa umuone therapist mapema 😺
Karangi kama ka mtu fudenge, ngozi nyororo, shingo ya pingili, hupendezi kuvaa njano na kijani angalia uzi mwekundu ulivyokutoa hapoLeo Lolote BAYA liwakute Makolo kwa wadogo zenyu!
Muwe na Jioni njema wapendwa
Wapi hizi hizi pesa mbuzi za kuvimbia waebrania 😂😂😂Utakuwa umetengeneza za kutosha, haya umeshaselfika au bado?
Jamaa sio hawa wanakunyatia mpaka dirishani wanakaa wanasikilizia kama kuna minong'o o yoyote ndani🤣🤣🤣 Nasikia hao OYA wanadai km una mimba unajifungua kabla y’a siku zako.!!
Mwambie shem akulipie bana.!
Umenikumbusha nna mamkubwa wangu anakopaga mikopo halafu mume wake ndiye mlipaji, akiulizwa pesa umepeleka wapi Hana majibu ya kueleweka.!
Kisa mzuri halafu chotara basi anampelekesha ba mkubwa had huruma. 🤣🤣
😅😅😅😅 wanajua kudai si mchezo🤣🤣🤣 Nasikia hao OYA wanadai km una mimba unajifungua kabla y’a siku zako.!!
Mwambie shem akulipie bana.!
Umenikumbusha nna mamkubwa wangu anakopaga mikopo halafu mume wake ndiye mlipaji, akiulizwa pesa umepeleka wapi Hana majibu ya kueleweka.!
Kisa mzuri halafu chotara basi anampelekesha ba mkubwa had huruma. 🤣🤣
Mimba kwio hebu selfika huko Kuna kitu nataka kuonaWapi hizi hizi pesa mbuzi za kuvimbia waebrania 😂😂😂
Mi nna mimba dr kanikatiza kujipiga pic, naomba uselfike nione hips mahi 😍