Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,615
- 100,316
Tatizo tunakimbizana na pesa hatuko active sana siku hizi humu, mwisho wa mwaka na sisi km wachaga tunafunga hesabu tumeongeza nini kwa mwaka mzima..! 😹
Nimepita mara moja kuwapa hi haya waselfike sasa tuanze, vipi shangazi alikuja kwenye mchuano? 🤣🤣🤣