Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,259
- 79,858
Itakuwa kaenda jeshini 😁😂Hebu msaidieni mzee wa hall V, kujua I'd mpya ya ephen_
Itakuwa kaenda jeshini 😁😂Hebu msaidieni mzee wa hall V, kujua I'd mpya ya ephen_
mimi sijakuona rudia AuntyHongera pambana maisha ndo yanavyotaka aisee
Sijaonaa picha yako, ila kuanzia kesho nitakua makini,Muwe na usiku mwema wana selfika wote...![]()



Hebu kwanza tutupie nyingine jamaniMrembo wangu. Halafu usifikiri nimesahau. Una shape wee dada. Hips zimetokea nakumbuka, niliona ulitupia. Yaani Selfika warembo kama wote na hamringishii Saint Anne 😍😍😍😍😍😍
Eng kama Eng hongera tuna Eng cocastic Selfika unapeperusha bendera vizuri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥Yaan kajaliwa kila kitu huyu Luv BL, km ba tamu ake ni mu HB bas amemalizaaaaa.!!!
Sasa ndo mumpe hiyo taarifa huyu mzee wa hall V.Itakuwa kaenda jeshini![]()




😁😂Sasa ndo mumpe hiyo taarifa huyu mzee wa hall V.
![]()
Unacheka, badala ya kumpa taarifa mzee wa hall V, wee vin kwema?





Akija ataona hapa 😂 😁 kaenda jeshiniUnacheka, badala ya kumpa taarifa mzee wa hall V, wee vin kwema?
![]()
Ahsante kipenzi mwenye hips zake Saint Anne Sasa mimi shape yako, naitamani nipungue nifike vile. Ningetupia kila muda 😅😅😅😅Hebu kwanza tutupie nyingine jamani
Ya kusuuzia macho kabla hatujalala
Yaani wewe upo juu mawinguni
Kwa uzuri na roho nzuri
Tajiri wa vocha za jumla🔥🔥
KumbeItakuwa kaenda jeshini 😁😂
Hayaaa!!Akija ataona hapa![]()
kaenda jeshini
Naweee pia luv,Ahsante kipenzi mwenye hips zake Saint Anne Sasa mimi shape yako, naitamani nipungue nifike vile. Ningetupia kila muda
Mungu akipenda kesho nitatupia. Usiku mwema wote,![]()




Ubuntu botho masanda wana 😎 😎
View attachment 3105796
Msalimie wakili wanguHayaaa!!
Nimevaa mamelodi Ubuntu bothokwhy tuone rangi ya jezi ulio vaa
Zimefikaaa, usijariiii.Msalimie wakili wangu