Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,577
Mwanzo mgumu, but itakaa sawa tu. PambanaBado naendelea kuhesabu magari..
Wateja sio watu😂😂😂😂
Siku mzigo ukiisha wanakuja Kwa nguvu
Nikishusha tu naanza kuwahesabu.
Mwanzo mgumu, but itakaa sawa tu. PambanaBado naendelea kuhesabu magari..
Wateja sio watu😂😂😂😂
Siku mzigo ukiisha wanakuja Kwa nguvu
Nikishusha tu naanza kuwahesabu.
Naishiwa vizuri tu hapa nimekopa😂😂Hadi wewe shemeji huwa unaishiwa bando?
Au mlikuwa busy kuwapiga virungu wanaojidai wanaandamana
Wee🤣🤣🤣Naishiwa vizuri tu hapa nimekopa😂😂
Mungu ni mwema wanakuja sanaMwanzo mgumu, but itakaa sawa tu. Pambana
Nipe dili aisee, ni wapi huko?
Ingia chap bank mtu wangu, chukua loan. Kina lamomy usione wanatamba walikua kwa bank loans.Mungu ni mwema wanakuja sana
Mtaji tu ndio mdogo kwa kweli wateja wanakuja unakuta hakuna pepsi
Vinywaji vinatoka sana,,,mchawi mtaji tu.
WeIngia chap bank mtu wangu, chukua loan. Kina lamomy usione wanatamba walikua kwa bank loans.
Badala wewe unipe Mimi madili shemeji 😂Nipe dili aisee, ni wapi huko?
Kila kitu kina mwanzo wake, nenda bankWe
Mi kapuku tu
Bado kufika level hizo
😂😂Badala wewe unipe Mimi madili shemeji 😂
Ngoja nitaongea naye😂😂
Mm hali ngumu. Hapo nakushauri ongea na nkamu wako akupe ABC inaweza kukusogeza zaidi
WeKila kitu kina mwanzo wake, nenda bank
Naamini huwezi kukosa collateral
Yaah, mkiwa mnapeana maubuyu mnachomekea kidogo na mambo ya maendeleo😂😂Ngoja nitaongea naye
Huu muda tunaochat ujinga na Nkamu hapa ,heri Nkamu anifunze biashara
Mambo ya vichaka tukuachie wewe shemegi.
KabisaYaah, mkiwa mnapeana maubuyu mnachomekea kidogo na mambo ya maendeleo😂😂
Hata B money, ongea nae pia anaonekana ana roho nyeupe sana
Haya babeNikutumie number ya WhatsApp babe?
Uko jukwaani ujue....wataniibia🤧🤧🤧Haya hii hapa baby
Haya nimefuta siusha chukua babeUko jukwaani ujue....wataniibia🤧🤧🤧
I can't imagine ladha yakeJuice napenda sana, nikiwa na muda najitengenezea nikiwa kwenye kageto kangu.
Hii ilikua maziwa, parachichi na ndizi.
View attachment 3106187
🔥💕🥰Looo hongera sn