Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee 🤣.

Moja, ushawahi kuona simba dume asiye na Ndevu?

Mbili, zile za Osama hazikuwa na matunzo.

Yaani kabisa hizi zangu unazilinganisha na za Osama? Hebu cheki hiyo line-up….

View attachment 3100014

Sidhani kabisa kama Osama alikuwa na hizi nyenzo za matunzo.

View attachment 3100015
View attachment 3100016

Tatu, sidhani kama Osama aliwahi kupata hata compliment moja kuhusu ndevu zake 🤣.

Yours truly hapa napata compliments kila kona, ikiwemo hapa JF kupitia PM 😉.

Put some respect on my beard 😀.
😍😍😍Nimeona Simba dume
Haya tupia pic yako zikiwa zinaonekana vizuri NN..

Ina cost kiasi gani kwa mwezi? 🤣
Hapo sasa utupie na BUCCI km yule jamaa ake sis Pridah
 
Back
Top Bottom