Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani wewe kwa kunitafutia wastaafu uko vizuri! Wastaafu wote waje kwangu ufalme wa kapisi ni wao

Ulifichwa wapi weekend?
🤣🤣🤣 Ndio vizuri tule mafao na viinua mgongo shosti..!

Kuna sehemu nilikuwa nashangaa mataa bana, leo nikasema wacha nikucheki shosti yangu.. uko pouwa?!
 
Au wewe ni yule uliekua unapiga maombi kwenye maandamano 😁
Mi mamah wa ambushi na maombi wapi na wapi?? 😂😂😂
Nilitaka watupe bomu la machozi niwarudishie kwenye defender lao…

Sema wabongo sisi wanafiki sana, yani watu tuko road wengine leo wamejifungia wanapeana yutiayi 😹😹😹
 
Back
Top Bottom