We nawe una hekaheka mno😂Mshambaa kaweka picha, na nimepitwaa, Lol
😂😂😂😂😂
Dada🔥🔥🔥
selfika dada😀Afadhali niko peke yangu, niselfike sasa... 💃💃💃💃💃
Mama junia ❤️Church lady❣️
Tumeiombea nchi yetu Tanzania
Bwana na atoe majibu ya damu zilizomwagika
Bwana aachilie amani
Bwana aachilie majeshi yake ya ulinzi ambayo ni imara kuliko majeshi yote hapa Duniani.
Bwana aachilie roho ya hekima kwa viongozi na awaondolee ubabe
Kumbe mpo eeh jamani. Ningeumbuka mbona na nilijua niko peke yangu 😅😅😅😅😅selfika dada😀
Wewe selfika hata kisigino mm tayarKumbe mpo eeh jamani. Ningeumbuka mbona na nilijua niko peke yangu 😅😅😅😅😅
Afadhali leo nikuone aiseeAfadhali niko peke yangu, niselfike sasa... 💃💃💃💃💃
Auntie 😊👋🏿Mama junia ❤️
Jamani