kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 4,004
- 10,759
Nadhani ni asili au bado kijana mdogo😄nazipenda ila hazikuji
Unanikumbusha kipind fulani niko advance nilikuwa napenda niwe na ndevu ila hazikuwepo ila sikuhizi ni kila week saloon kuzipunguza na katikati ya week napunguza mwenyewe nyumbani.