Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,444
Naona babe wangu anapewa za uso huku.Huyo tunajuana miaka. Wewe umemjua sijui juzi. Utulie kama unanyolewa zivu sawa. Halafu acha kumsumbua babe wangu, ana mambo mengi ya kufanya na kunipenda. Acha kumvuruga muone
We Genius Man, tandika kitanda ulale ebo!!
