Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Sasa huu mwaka tunaumalizaje kizembe ivoKumbe mna mabinti na hamsemi 🤣🤣
Sasa huu mwaka tunaumalizaje kizembe ivoKumbe mna mabinti na hamsemi 🤣🤣
Ongea nae vizuri/ huyo kukufacilitate uimport kontena nzima la vijora ni dakika sifuri.Kigogo mmoja tu Bantu Lady 😂😂
Mimi kuniweka hapo unanikosea tu, mi mwenyewe nataka mtaji toka kwake.!!
Chino wee msikilize tu Lamomy, huyo tajiri wa Kikinga. Kariakoo iko mkononi kwake. Sasa mimi hata duka moja sina hapo Kariakoo. Yeye ndiyo atupe sisi mitaji.Ongea nae vizuri/ huyo kukufacilitate uimport kontena nzima la vijora ni dakika sifuri.
a ukweli aupokeeMuache afanye irrigation of heart 😃
Kwetu sis hamuwashi
Wenyew nyota inawaka
Na tuanzid Kuishi
Hamtopata mnalotaka
Sii hamtutii Moshi
Wala sehemu kiraka![]()
Saint Anne njoo tutest mitambo kwaajili ya ijumaa





shangaziii acha fujoooo, khaaaahSabaha Salum? Hatokuwepo capital city?Bure mwapapatika mahasidi
Na wazushi nyie,
Hizo zenu hekaheka mimi
Hazinikondeshi mie,
Majungu mnayopika...
Nimehuzinika yule mama mzuri Sabaha wamemtoa nje



Na hili hili Kaa la moto
Kwako nalishindilia upone maradhi ya husda
Acha mambo mambo ya kitoto
Huo wa ugonjwa wa kujitakia
Tabu Raha ya chuki ni shida
Saint Anne




shangaziii umechachukaaa, aaaah wee.Nilikuwa natest 🤣🤣shangaziii umechachukaaa, aaaah wee.
Kimerudi ki blue tick
Basi hapo umemsumbua Max umeenda mpk ofisi za JF, sema wewe pesa huna tafuta Platinum utufokee..!!
Ndio utulie sasa ukifanya fyoko kinatolewa mazima hukipati tena![]()







Za gugo udugu mi pesa nizitoe wapi?
Hapa nataka nimuite oddo Bantu Lady boss kubwa aniwezeshe kuni boost mtaji wangu wa vijora..![]()




uduguuu em niwacheeee, ntapasua mbavu zangu buree, Shangazi Kopa anaupiga mwingi kuamsha jukwaaYani m wamenikosha Kwa hadija Jamani
Hasid ukifanikiwa
wewe Cheka Kwa Yako
Moyoni anaumia
riziki na namimniwa
Nakiona choyo chako
na kunisema vibaya 😃😃😃
Sabaha anaimba bhana Yani Hana makeke sauti imetulia anazeeka na sautiyake nzuriShangazi Kopa anaupiga mwingi kuamsha jukwaa
Ila kwa kuimba
Hakuna mtu anamfikia Sabaha
halafu ujue unamjua sema sikushtui ungecheka sana.!!
Sisi tunajua USA hawalimi mahindi km zao la biashara ila la kulishia mifugo…
Ila yy huku analalamika mpk bei za kuuza sokoni ndogo..!! Na mbolea bei




aaaah uduguu wee.Ulipotelea wapiii wee mzee wa Range?? Woiiiiih.It has been a while whats up my people
Mvuvii haramuuu!!




