Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Mimi na mabinti ni damu damu tokea kipindi icho, angalia vizuri.Chino hapo ww yupi? 😂😂😂
Mimi na mabinti ni damu damu tokea kipindi icho, angalia vizuri.Chino hapo ww yupi? 😂😂😂
Za gugo udugu mi pesa nizitoe wapi? 😂😂sio za ku gugooo kweliii?
sawa karibu geto kwanguNjoo tunywe ulanzi basi 😹
Odo ake, jamani sina hela 😅😅😅😅😅Za gugo udugu mi pesa nizitoe wapi? 😂😂
Hapa nataka nimuite oddo Bantu Lady boss kubwa aniwezeshe kuni boost mtaji wangu wa vijora.. 🤣
😂😂😂 halafu ujue unamjua sema sikushtui ungecheka sana.!!Kwan USA hawalimiii?![]()
Chino halafu ss hivi hakuna watu tupia kapicha basi nikuone mchuchu 😍Mimi na mabinti ni damu damu tokea kipindi icho, angalia vizuri.
Hilo gheto weka pic yake kwanza nionesawa karibu geto kwangu
Unazo oddo wangu tajiriiiiii 😂😂😂Odo ake, jamani sina hela 😅😅😅😅😅
Labda tukaibe Odo ake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vibaya kufokea watu, pesa huisha odo usisahau 😥Unazo oddo wangu tajiriiiiii 😂😂😂
Niambukize utajiri basi oddo na mie niwafokee humu..😹
Dah 🤣 😁 😁 😁 😁Kimerudi ki blue tick 🤣🤣🤣
Basi hapo umemsumbua Max umeenda mpk ofisi za JF, sema wewe pesa huna tafuta Platinum utufokee..!!
Ndio utulie sasa ukifanya fyoko kinatolewa mazima hukipati tena 😂😂
Nipo nacheki Yanga tvLamomy na rafiki yake Vincenzo Jr
Unajua nyie wote marafiki zangu wakubwa 😊 napenda msigombene tena ,labda kama ilikua utani , ila kifupi nilikua najisikia vibaya🥲Nipo nacheki Yanga tv
Ilikuwa utani tu 😂 😁 😁 huyo wakili wanguUnajua nyie wote marafiki zangu wakubwa 😊 napenda msigombene tena ,labda kama ilikua utani , ila kifupi nilikua najisikia vibaya🥲
Naogea maji ya ndimuSamantha Lewthwaite mgeni wangu umechangamka😊
Sawa😆Naogea maji ya ndimu