Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Kuhusu Bantu Lady kubarikiwa Hilo halina mjadala mchuchu.Wee tajiriii unazo km hizo umezipaki bana 😜
Sisi watembea kwa miguu ndio tunafokewa 🤣🤣🤣
Mungu kampa Kila kitu and gudluck toto la watu halijui kuringa





hiyo ndo imeni turn on. 