Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,641
- 3,752
Nawe unapenda kula ice cream usiku?Naona ushakua mwalimu sasa
Ndo tuna test test eh
Nawe unapenda kula ice cream usiku?Naona ushakua mwalimu sasa
Ndo tuna test test eh
hongereni
Naona funguo ya Lexus, hiyo funguo ni Lexus RX330(pacha wa harrier)Kuna wapenda Ice cream kama mimi hasa usiku 😅😅😅😅View attachment 3089745
Bantu mivocha bantu sandakalawe bantu bosslady😂😂Kibunda cha weekend, huwa unatumia kiasi gani katika weekend yako? View attachment 3089523
Mzee wa magari umetisha, ukiona tu umeshajua. Ngoja siku nikuwekee kitendawili ukitegue hapa shemeji yangu.Naona funguo ya Lexus, hiyo funguo ni Lexus RX330(pacha wa harrier)
Nikiona hata siti tu najua😂Mzee wa magari umetisha, ukiona tu umeshajua. Ngoja siku nikuwekee kitendawili ukitegue hapa shemeji yangu.
Shem acha zako. Haya tutaleta usijali. Ngoja moja ulitegue hilo.Nikiona hata siti tu najua😂
Mm ni fundi gereji, nipo tandale. Uwe unaleta kazi aisee jua ni kali mno
Nitashukuru aisee maana sasa hivi gereji kazi chache😂Shem acha zako. Haya tutaleta usijali. Ngoja moja ulitegue hilo.
Sina hakika kama uko serious shem. Kama kweli Lamomy anipe namba nimtumie, akutumie. Japo najua watania...Bantu mivocha bantu sandakalawe bantu bosslady😂😂
Nikutumie namba ufanye muamala aisee mchana wangu upite salama
Nilikua serious, sema nikawa busy kidogo sikuona hii reply. Mchana umepita kwa taabu Sana, ngoja tuangalie upepo wa usiku😂Sina hakika kama uko serious shem. Kama kweli Lamomy anipe namba nimtumie, akutumie. Japo najua watania...
Tajiri huna baya tajiri uishi maisha marefu sana 😎😎😎Kuna wapenda Ice cream kama mimi hasa usiku 😅😅😅😅View attachment 3089745
Niambie mkuuKaka 😎😎
Karibu kigamboni kakaNiambie mkuu
Mdogo wangu pesa zinategwa hazitafutwi sawa? 😂😂🤣wenzetu pesa mnazipatia wapi mbona sisi tukitafuta hatuzipata tunapata matatizo juu ya shida Lamomy embu tujibuni
Sijaona hata