Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
๐๐๐๐๐, Karibu sana mnywanii usisahau maembe mabichi waituhahaha!
Usije ukaniacha mto kanoni pale hamgembe nashangaa peke angu
๐๐๐๐๐, Karibu sana mnywanii usisahau maembe mabichi waituhahaha!
Usije ukaniacha mto kanoni pale hamgembe nashangaa peke angu
Siku hizi naweza kutuma naona, hazinisumbui Mwalimu wangu, ahsante sana.๐ฅฐNaona ushakua mwalimu sasa
Ndo tuna test test eh
Ungenistuaa jamani juzi nilikua huko saiii niko Massaka kesho mapemaaa sana naamsha Tz. Bk ntapita asubuhi sana make naenda Mwanza!Nitakuwepo bukoba, nilikuwa huko Kampala na Entebe wenzetu wanatumia hela sijawahi ona. Nilitembelea viwanja kadhaa hapo Kampala Catwalk Lounge na Throne ni balaa tupu nilikaa siku kadhaa ila nilifurahia sana...
Leo akina kokushubira utawamwaga maizi ya kutosha !
Hahaha hizi akili zako mnywaniLeo akina kokushubira utawamwaga maizi ya kutosha !
Duuuuuuh ebhanaeeeeeee ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅMrare unono wapendwa ๐ด๐ด๐ด๐ด๐ด๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค
Kapachino Usisahau maembe mabichi!
Wakora waitu aisee.
Tafufa hela mkuuDuuuuuuh ebhanaeeeeeee ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Mimi wananigeaga bure ๐Tafufa hela mkuu
Huwa nawakimbia hapa straight kulala kesho na ratibaLeo akina kokushubira utawamwaga maizi ya kutosha !
Tungeamka kesho huko Mwanza kesho napokea maboss wanguUngenistuaa jamani juzi nilikua huko saiii niko Massaka kesho mapemaaa sana naamsha Tz. Bk ntapita asubuhi sana make naenda Mwanza!
Napenda venye waganda wanatumia sana pesa pia wanajuhudi sana ya kutafuta pesa wakizipata hata kutumia leo zikaisha kesho asubuhi asiamke hata na mia mbovu kwao kawaida sanaa!
Napenda tu huu uzungu uzungu wao
Hapo kati kuna protein kumejikunja vizuri pabarikiwe.
Siku nyingne nitaweka nyingine ๐Uliwahi ifuta hata sijaikariri vizuri ๐
NitawekaUshatupia vidio??๐คจ
Kama hiko kisahani hakitafuniki mwambie aache dhuruma apunguze bei ๐Kuna wapenda Ice cream kama mimi hasa usiku ๐ ๐ ๐ ๐ View attachment 3089745
Mkuu sasa tumejua palipotobokaa ๐คฃSiwez kuishi bila wewe mideko