Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,471
- 94,937
Majini yanakataza kuhonga 😂😂Mfano ukitoa fungu moja hapo ukanipa utapungukiwa nini?
Majini yanakataza kuhonga 😂😂Mfano ukitoa fungu moja hapo ukanipa utapungukiwa nini?
yaliopita Sandwele tugange ya jayo embu nitafutie kakijiwe cha uongo hapo kkoo nikija nipate pesa now nimefulia mpaka miti inanizomeaSema dogo ulinichefua kukosa hivyo hizo Jordan ningekubless bila kutoa mia mbovu😂😂😂
Natamani kumuomba tena Ila naona aibu aisee, maana nilizuga shida yangu ishaisha kumbe bado hali teteUsinambie? Em tajiri Bantu Lady njoo utufanyie jambo..
Mi naomba anipe pesa niongezee mtaji wa vijora 😂😂😂
Dogo hukufatilia ule mchongo??yaliopita Sandwele tugange ya jayo embu nitafutie kakijiwe cha uongo hapo kkoo nikija nipate pesa now nimefulia mpaka miti inanizomea
Kama mimi😅😅kuna wachaga wengine ni matajiri wa ulev sio wa pesa
Bff nimekumis hebu selfikaaMajini yanakataza kuhonga 😂😂
Kwa ulivyo ww tajiriiii na ile ndinga sasa.!!?Hahaha sio kwel na sio kwangu😆😆😆
PombeUgimbi ni nin
Sio kuhonga ni kunisaidia tuMajini yanakataza kuhonga 😂😂
hapana kuna jambo lilitokea nikastop nikapotea kabisa hata mtandaon sikuwepo kabisa at sm za kawaida sikuwa onlineDogo hukufatilia ule mchongo??
Njoo nikuvalishe kijora uite wateja 😂😂yaliopita Sandwele tugange ya jayo embu nitafutie kakijiwe cha uongo hapo kkoo nikija nipate pesa now nimefulia mpaka miti inanizomea
kqbisa ww si ndio.yule unaamkia.barKama mimi😅😅
Si umesharudi fanya sasahapana kuna jambo lilitokea nikastop nikapotea kabisa hata mtandaon sikuwepo kabisa at sm za kawaida sikuwa online
No bhna , ndinga kitu gani bhna 🥲Kwa ulivyo ww tajiriiii na ile ndinga sasa.!!?
Nimelia sana mimi napanda mwendokasi wenzetu mnasukuma ndinga kalii kinyama.!!😂😂😂
😂😂😂 muombe usione aibu shauri yako utalala njaaNatamani kumuomba tena Ila naona aibu aisee, maana nilizuga shida yangu ishaisha kumbe bado hali tete
Kwenye maombi 12 niliyoandika pale kawe! Mmoja ni la kupunguza vita zako.🤣🤣🤣 sema kweli??
Nishaselfika mpk nasikia uvivu 🤣🤣🤣Bff nimekumis hebu selfikaa
Kijora tena uhuuu 😁😁Njoo nikuvalishe kijora uite wateja 😂😂
Kwa siku tukiuza piece 1000 basi tunatoboa dogo
Nawaza sijui nitaonekanaje, naona aibu kinoma Ila pesa naitaka😞😂😂😂 muombe usione aibu shauri yako utalala njaa