Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,104
- 55,039
Nyie tu ndo mna mambo mengi wa huku uswahilini kwetu maintenance cost yao ni ndogoNimeipenda iko poa sana kibachela ya kibabe 😅😅😅😅. Wanawake tuna mambo mengi, salon tu laki kadhaa zitaondoka. Sehemu unayoenda, chakula na marafiki. Bajeti inakuwa kubwa kidogo