Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,689
Hivyo eeh? Ila inategemea na mtu, vitu anavyopenda. Mimi huwa ni zero kwenye matumizi ya hela. Sina bajeti, najibebea tu, zikirudi haya zikipotea kwa vitu vya kijinga haya. Napenda wenye bajeti, I wish niwe hivyo.Nyie tu ndo mna mambo mengi wa huku uswahilini kwetu maintenance cost yao ni ndogo