cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,993
Si ndo yeyee alimfataaa jamaa fulaani humu, kumuombaa msaada, afu baadae anasema, iwe siri na hakikishaa, cocastic au lammomy hamfikii, wale wabayaa sanaaaBonge utapiamlo njoo humu[emoji37] hela ya kununua pc huna afu kuwasemea pembeni,
maskini mkubwa ulikuwa unang'ang'ana na vocha na wanawake leo huu kumnanga mtu mzima, ?badilika kijana hata wanaowasili ana na wewe nje ya jamii forum wajitathimni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari zako tunazooo,
Na siku nikitibukaaaa, nawekaa waziii ulivyokua Una mnangaa BL kisa varangati lake na ephen, kuhusu uzii kuunganishwaaa
Hukoo PM tunayooo yoteeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]