ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Anajua kuiomba ila namzinguay
Weee unapenda anaeiombaje??😁
Anajua kuiomba ila namzinguay
Weee unapenda anaeiombaje??😁
Ila Wii😂😂😂wewe kibokoChuma icho 😍😍😍
Ila kaka hapa kajipata mtoto mlito, mali safi kabisa.!
Usingizi wa kaka yangu 🥰🥰
Ulivyo mkareee naona watu mate yanawatoka ila wanashikilia moyo..
😁😁😂😂😂! Siku akuzimishe ndio utajua wanaume wapole upole wao uliko 😁Namtania min ake nitakavyo sababu hakasiriki
Kazidi upolee
Hafananii mbona😂😁😁😂😂😂! Siku akuzimishe ndio utajua wanaume wapole upole wao uliko 😁
Nani?Yupo mwingine analalamika anaombwa PC na pesa eti kachoka mademu zake njaa nyingi 🤣🤣🤣
Nkamu uliomba PC ya pesa nyingi, ungemuomba hata dell 😂😂😂🤣🤣🤣🙌
Mshindi yeye aisee🙌Nkamu uliomba PC ya pesa nyingi, ungemuomba hata dell 😂😂😂
Unampaje ushindi, atoe PC kwanza ndio awe mshindi 😂😂😂Mshindi yeye aisee🙌
Aisee,huyu kijana unapocheka nae kumbe anakuwa anakuchora tu siku akuharibie....sikumdhania....na kilichompanikisha ni Mimi kukutetea mnavyokwazana kule kwenye thread....kazi yake ni kuumiza watu sijui atakua lini aisee🙌Mmmh bwabwa hilo, yeye mwenyewe kawekwa ndani kula na kulala
Niliomba hadharani cute ....nilisaidiwa pm....nishanunua tayari.Sasa anachoumizwa na michango ya watu ni niniUnampaje ushindi, atoe PC kwanza ndio awe mshindi 😂😂😂
Mi niko sambamba na wewe mpk tajiri atoe PC tena Mac book hatutaki brand nyingine.!
Yeye mbona maelezo yake tofauti, kasema mnajuana ww goma lake na unambebisha sana 😂😂😂Aisee,huyu kijana unapocheka nae kumbe anakuwa anakuchora tu siku akuharibie....sikumdhania....na kilichompanikisha ni Mimi kukutetea mnavyokwazana kule kwenye thread....kazi yake ni kuumiza watu sijui atakua lini aisee🙌
😂😂😂 yeye kasema ulimuomba pembeni na ukaanza kuomba akusaidie school fees ya kina Junior 🫢Niliomba hadharani cute ....nilisaidiwa pm....nishanunua tayari.Sasa anachoumizwa na michango ya watu ni nini
🤣🤣🤣🤣🤣Jamani...ndo maana nimemuuliza nishawahi ingia pm yake? But it's ok mshindi yeye😂😂😂 yeye kasema ulimuomba pembeni na ukaanza kuomba akusaidie school fees ya kina Junior 🫢
Makubwaaa ilikuwaje tena😂😂Jf wanaume ni wachache Sana aisee,Cha kushangaza anahusisha wanangu...jamani ...alitaka nisizae? Nitoe mimba? Aisee,hovyo sana
😂😂😂 Huko pembeni anawananga sana mnamzamia pm kumsumbua na njaa zenu wohiiii nouma sana🤣🤣🤣🤣🤣Jamani...ndo maana nimemuuliza nishawahi ingia pm yake? But it's ok mshindi yeye
Kitu cha kilimanjaro baridi, noma sana mkuu💪
Ndugu yangu,ule utani wangu umeniponza....PC nilivyoomba public imeleta kizaazaa.☹️Makubwaaa ilikuwaje tena😂😂