Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Poleni sana wanaume kama mabinti na sasa naona anamtagg dem fulani hv ipo siku atamuumbua,,
Muomba vocha anawasema wenzie wanamuomba vocha pyumbavu yeye na uk.. wake
Huyo mbona tayari na picha zake kashasambaza 😹😹😹
 
Mbona leo kasema kwenye huu huu uzi kuwa wewe ni mshamba huna maji, na huyu manzi anajiita feki p Fake P akimuomba huwa anampa k..huu huu uzi mda fulani hvi
🤣🤣🤣🤣 eeehhh nyie mabwaku
 
Bonge utapiamlo njoo humušŸ˜– hela ya kununua pc huna afu kuwasemea pembeni,
maskini mkubwa ulikuwa unang'ang'ana na vocha na wanawake leo huu kumnanga mtu mzima, ?badilika kijana hata wanaowasili ana na wewe nje ya jamii forum wajitathimni
 
Nipo sambamba huyu anaekaa kwa muarabu wake huko kig na kuchafulia watu majina wakati hawezi kitu
Mkuu unatokeaga kwenye ugomvi tu 🤣🤣
Ila kuna kitu umeongea nimecheka sana
 
Huyu tajiri nasikia hapendi tabia ya kuombwa ombwa pesa na manzi wake aliopita nao eti wanamsumbua njaa nyingi

Wengine analalamika wanambebisha yy hapendi, na wanamuomba PC yake ya Mac book aliyonunua Paris pale Apple Store
watu weuweeeee!!!!
 
Back
Top Bottom