Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,312
- 79,996
Unanuka sana unanitia kichefuchefu nimepoteza muda umenirudisha nyuma stepu wewe ni mlemavu 















































Mtandio, ntamtanda mie,bonge analo leo si anashaukwa acha vijora tumpatie






Selfika tunayo na tunatamba nayo/
Mganga uzi katuwekea kazi kwetu wambea/
Mipicha kujitupia na vichaka kuwatishia/





uduguuuu nachekaaa km mwehuuu hapa ujueee.Tajiri voda pm tajiri huna baya 😁🔥🔥🔥Ngoja niselfike zangu. Hello weekend 🫶🤸♀️View attachment 3078007
🤣🤣😂 wanatuogopa km ukomauduguuuu nachekaaa km mwehuuu hapa ujueee.
Nyie kumbe tunaogopwaaa kiasi hikiii, aaaaah wee!!
We nawe punguza njaa 🤣🤣🤣Tajiri voda pm tajiri huna baya 😁🔥🔥🔥
Na mchupi wa “NABAKI AFRICA” mpee 🤣🤣Mtandio, ntamtanda mie,![]()
Hutakiwi kuogopa kusema kama una njaa 😁We nawe punguza njaa 🤣🤣🤣
Si ubadilishe likes ziwe vocha
Woyooooooooooooh!!! Mie napenda haya mamboooo, yaani hapa rohooo kwatuuuu.Halafu hiki kionjo bonge ngoja stimu zipande vizuri utachora chini, oyaa coca huo mjani ninyongee vizuri leo kuna mtu nataka msambwanda u-bust![]()








😹😹😹 umezidi bl hapumui kila mkimuona nyie mnaumwa njaa, ndiomana jamaa wa kiga aliuponzaHutakiwi kuogopa kusema kama una njaa 😁
Aya tupia basi totoo 😊😹😹😹 umezidi bl hapumui kila mkimuona nyie mnaumwa njaa, ndiomana jamaa wa kiga aliuponza
Bonge zaidi ya mchupi wa “NABAKI AFRICA” unadhani atavaa nguo gani imtoshee?? We huogopi mtu ana mwili km Pantone 🤣🤣🤣mbavu zangu miee, Woiiiiiih
Leo nipo busy na operation ya kumziba pancha bonge la kiga, nikiweka nakushtua wewe tena ilo limeisha… 😂😂Aya tupia basi totoo 😊
Wapi degeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Leteni kisu tulichinje Hilo degeeeeeeeeee🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/Hwk02xQytcc?si=taMRK3cPkwVOhCC7
Waweza jua shababi kumbe joka la kibisa😂😂💔Dege lisiloliwa, kunguru la Zanzibar 🤣🤣🤣