Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,790
- 182,962
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Mwenyewe. Bet basi pesa niweke picha ( sikukuu imekaribia eti?
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Mwenyewe. Bet basi pesa niweke picha ( sikukuu imekaribia eti?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata sijui ni gani [emoji73] ako anakula...vile ndo maana sijaambiwa karibu kwa table
Shaamka kitambo she.Goòd morning shemlove.
Amka basi
Sitakiiii!! Weka basi.Aaah Atoto mzima wewe!
Kwa app sioni notifications my [emoji1780]Mmh kitambo sana...maybe kama alirudia tena hiyo title...Active yupo siku zote
So ni gani inatokea, huoni notifications, ni kwa app ama hadi kwa browser?
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kijani kibichiView attachment 1282152
Pole sana jamaniAisee nmeona mguu mzuri saaana. Laini saana...mguu mguu. Niliwaza saana.
Amkeni keshoWale wa manchester united tunaamka saa ngapi??
NiwaaaacheeeeeHalooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba J[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko NakaraMarangu moshii......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaonaje ukianza wewe iwe baba J...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natumia samadi mkuuKiongozi, huo moustache una afya balaa[emoji23]
Amen Mkuu!!
Shukraan sana mkuu" Uhali gani kiongoziHabari gani jogoo wa shamba .nakupungia mkono kwa mbali mkuu ...umetekeleza ilani wa huu uzi vilivyo.
Nifungue macho kidogo mkuu Hawachi[emoji122]Mkuu una utajiri kwenye kiganja chako.
DowntownHii ngoma Kijitonyama Makumbusho?
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Shukraan sana Sakayo"" Tabasam huficha mengiAmen Mkuu!!
Huwa napataga sana amani nikiona mwanaume anatabasamu!! Napenda sana kuona tabasamu!