sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,149
Aisee nmeona mguu mzuri saaana. Laini saana...mguu mguu. Niliwaza saana.Kafanya nini eti jamani
Aisee nmeona mguu mzuri saaana. Laini saana...mguu mguu. Niliwaza saana.Kafanya nini eti jamani
Asante sana japo nilikua hapa hapa na fekero[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aise wacha wee,, ninong'oneze ni ipi hiyo..
Inamaana wewe huna backup id?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🙇🙇
Wale wa manchester united tunaamka saa ngapi??
Afu usikute mwenyewe alimdhamiria depay ila sie tu na kiherehere chetu 😀😀
Kijani kibichiView attachment 1282152
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] sina,, au labda kwa vile sijawahi kupigwa ban eti.. na vyenye nina uraibu na JF siku nikipigwa ban kama najiona ninavyoenda kufungua id nyingine labda hiyo ban iwe ya siku chache nitavumilia ila siyo miezi aiseee
Afu usikute mwenyewe alimdhamiria depay ila sie tu na kiherehere chetu [emoji3][emoji3]
Aaha kama ME sawa 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna bhana huyo Depay humu anajulikana kama ME na yeye amesema "mrembo" which means....??
Au labda kama amemmaanisha yule mchezaji Memphis Depay mwenyewe maana yule kaka naye mrembo daah [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mirinda nyeusi mkuu
Hahahah....Hahahaha This Time Tomorrow