Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,489
- 203,179
Kifungo kimeisha? Haha karibu tenaChat na picha
Kifungo kimeisha? Haha karibu tenaChat na picha
Kidunchu bana 😀Hahah...una fujo sana
Huna fence? Fuga hata mbwa pia wakibweka unashtuka.Nitauwa mtu kabla wiki haijesha.. Wana wamekata dirisha na kutembea na smart 47incView attachment 1281319View attachment 1281320
Kifungo kimeisha? Haha karibu tena
Kifungo kimeisha? Haha karibu tena
NdioAlifungiwa??
Yaan wameruka ukuta, mbwa nao wamekula bunda tu.Kuna fence kubwa
Kuna geti
Kuna mbwa
Good morning shem love.Subiri kwanza.... buanaah
Halafu sijasahau ujue!!!!!!Daaah ulale salama basi.
Nimeahidiwa kupelekwa Kawe beach
Hehehee nachekelea tu hapa.
Hakikaa madikteta wameniachia huru.....


Pole Sana,, Karibu Tena..