mimi modereta wa kukagua bakapu aidii nawachora tu [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
mimi modereta wa kukagua bakapu aidii nawachora tu [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
I meant that .....
Hii kama tukuyu-mbeya
Afu usikute mwenyewe alimdhamiria depay ila sie tu na kiherehere chetu [emoji3][emoji3]
Aaha kama ME sawa [emoji3][emoji3]
Afu hata sijawai kuiona hiyo ID
Mmejiongeza ahahah.Afu usikute mwenyewe alimdhamiria depay ila sie tu na kiherehere chetu [emoji3][emoji3]
Unaonaje ukianza wewe iwe baba J...Badilisha ID iwe mama J..
[emoji5][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna bhana huyo Depay humu anajulikana kama ME na yeye amesema "mrembo" which means....??
Au labda kama amemmaanisha yule mchezaji Memphis Depay mwenyewe maana yule kaka naye mrembo daah [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hii ai weweeee 💃Mmejiongeza ahahah.
Ile picha ya jana ndio imenifanya nmekariri jina lako
Baba JBadilisha ID iwe mama J..
Yaan wameruka ukuta, mbwa nao wamekula bunda tu.
Hao mbwa wana faida gani sasa. Achana nao fuga mbuzi utakunywa mchuzi[emoji3][emoji3]
Mji mzito huuMji wa wenye mjiView attachment 1282176
Mji mzito huu
Kichwa hakina mambo mengi,machache na ya muhimu.. hello DecemberView attachment 1282174