Niseme ukweli tu. Si Wasukuma hatujui kupika.
Nani humu keshawahi kula pilau lililopikwa na Msukuma? Hapa nazungumzia Msukuma wa Usukumani. Siyo hawa wa mjini Daslamu ambao hata ukiwaambia ‘ng’wanene’ hajui maana yake. Pilau ya Kisukuma ni vichekesho tupu.
Leo baada ya kutinga Ikungu...nikaamua nipitie chimbo moja hivi nipate kitimoto.
Now look at this here. Kikavuuuuu utadhani ni ng’homele.
View attachment 1281541