Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Ndio unavyojidanganya 😹😹😹We sema unanielewa tu.. hamna cha jamaa wa insta wala wapi.. mara useme unanitamani, mara picha hazifanani, mara weka picha ya siku ile, halafu cha ajabu unakuja kujigundua we ndiye una wenge...
Hivi kumbe kuchat humu unaniona mie level zako eti?
Hebu soma comments zangu kwa makini kuna kitu utagundua.!!
Wewe lete picha zako halisi bana, hizo za kukwapua mimi nakujoke tyuu hapa.!!
