Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Isidingo
It mighty be you
Mara Clara.

Nkamu uwe unaangalia taarifa
Huyu Dada Farhia aisee fundi sana anajua kutangaza..namna anvyointroduce muhtasari na kujitambulisha🙌🔥🔥🔥
Amefanya namuenzi Mzee,saa2 kamili nakuwa na remote .
Hizo
It might be you
Mara Clara km sikosei zilikuwa zinaonyeshwa STAR TV

Usinambie ujeuri mapema wa kumuenzi mzee, sasa ukipata watoto si watakoma hata cartoon hawatoangalia 😹😹😹
 
Hizo
It might be you
Mara Clara km sikosei zilikuwa zinaonyeshwa STAR TV

Usinambie ujeuri mapema wa kumuenzi mzee, sasa ukipata watoto si watakoma hata cartoon hawatoangalia 😹😹😹
Yaani watakoma
Na kwanza saa2 wote kusoma ,hakuna kuangalia tv saa2
Tupo nje ya muda😂😂😂
 
Back
Top Bottom