and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,977
ukishindwa kuelewa njoo PM nikuoneshe na picha ya hogo labda utaamini..Sio hiyo bana, ipo nyingine hebu weka zote ulizochukua huko 😹😹😹
ukishindwa kuelewa njoo PM nikuoneshe na picha ya hogo labda utaamini..Sio hiyo bana, ipo nyingine hebu weka zote ulizochukua huko 😹😹😹
Maxence Melo huyu hapa mzee wa id’s nyingi na hii yake umeonaWe kipi hapo huelewi? kwani hiyo tshirt imeandikwa vipi? na kwenye hio sreenshot kimeandikwa kipi?
View attachment 3038556
View attachment 3038555
Mi handsome boy na bado kijana mbichi damu inachemka, halafu we hadi siku nikupe hogo ndipo utaniheshimu, hebu endelea ku selfika..😹😹😹 ndevu km brush la chachandu, halafu ile ya siku ile na ya leo mbona tofauti??
Na ww ushaanz michezo ya mzee wa kigambonino 🤣
Ile uliyopiga coca akakusifia unaikumbuka?? Kwahiyo umezeeka na kunenepa ghafla?? 😂
Tatizo wewe ndio unamix unatuma picha nyingi tatizo mpk nyingine unasahau 😹Watu ni wabishi..
Una wenge, picha zote zangu, sasa hapo unachoshindwa tofautisha ni kipi?Tatizo wewe ndio unamix unatuma picha nyingi tatizo mpk nyingine unasahau 😹
😹😹😹 Mfyuuu!!ukishindwa kuelewa njoo PM nikuoneshe na picha ya hogo labda utaamini..
😹😹😹 Thubutuuu!!Mi handsome boy na bado kijana mbichi damu inachemka, halafu we hadi siku nikupe hogo ndipo utaniheshimu, hebu endelea ku selfika..
Vipi umemaliza album au bado kuna nyingine unaendelea kuupload? 😹Una wenge, picha zote zangu, sasa hapo unachoshindwa tofautisha ni kipi?
Nipple imechomoza 😋
Njoo PM nikupe..Nipple imechomoza 😋
Niletee namba za huyo mwamba, au nazo hutaki?? Basi nipe insta page yake 😹
Kifua cha kiume hicho, we huoni mikono hio ya kiume, nikimkamata mtoto wa mtu..Nipple imechomoza 😋
Niletee namba za huyo mwamba, au nazo hutaki?? Basi nipe insta page yake 😹
Weka hapa na wengine wachukue au huna??Njoo PM nikupe..
😹😹😹 Na wewe umemtamani?Kifua cha kiume hicho, we huoni mikono hio ya kiume, nikimkamata mtoto wa mtu..
Njoo PM nikupe namba, kama hutaki basi..Weka hapa na wengine wachukue au huna??
Tupia basi moja..Weka hapa na wengine wachukue au huna??
Kazi wanayo yaani😂😂😂 Watajuta kukutambua mama wa kinyaki