Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,232
- 185,128
Unakua unaziosha mara kwa mara sis au kichwa chako hakitaki hekaheka za kusukwa labda !Weee umependeza ccy.
Ni nzuri me nazipenda shida kichwa changu nikisuka nawashwa.
Umependeza sana ccy🙈🙈🥰😘😘😘😘