min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,521
- 128,087
Tutatumiana zetu mapicha mengi wawili tu si ndio?Utajiju![]()
Tutatumiana zetu mapicha mengi wawili tu si ndio?Utajiju![]()
Nakuja kuijia mahari nilichangia kidg sitak wifi mkorofi😂😂😂😂Utajiju![]()
😂😂Tutatumiana zetu mapicha mengi wawili tu si ndio?
Mim ccy hapana siwez tu kusuka, alafu nikisukwa eeeh nasikia kuumia Yani Hadi kichwa kinawaka motoUnakua unaziosha mara kwa mara sis au kichwa chako hakitaki hekaheka za kusukwa labda !
Tutatumiana zetu mapicha mengi wawili tu si ndio?
Huu msosi mpk dagaa kauzu nao wamo? 😹😹Bado sis ngoja nimalizie kupiga kitu cha matoke mixa karanga ndondo dagaa hapaaa😋🤭!
Bomu la kimataifa😂
Sitaki kubanwabanwa mie, kalale nibaki na min meNakuja kuijia mahari nilichangia kidg sitak wifi mkorofi😂😂😂😂
😂😂😂Rudisha begi letu la sheraSitaki kubanwabanwa mie, kalale nibaki na min me
Mshindi atatangazwa kanisani 😂😂😂😂Rudisha begi letu la shera
Yani huyu min me haiwezekani akuchukue kinguvu.
😂😂😂😂😂Mshindi atatangazwa kanisani 😂
Kumbe una kitako
Unazidi kunouuugaaaaaa tu sis beautiful indeed 😍😍😍😍🔥🔥🔥
Kiko wapi hapo 😆😆Kumbe una kitako
Asante ccy❤️❤️😘😘😘🥰🥰🥰Unazidi kunouuugaaaaaa tu sis beautiful indeed 😍😍😍😍🔥🔥🔥
Kwetu sitotaka kukuona una mdomo sana
😂😂😂😂Me si ndo wifi mkubwa.Kwetu sitotaka kukuona una mdomo sana
Hiz picha mnaweka na kufuta?