and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,977
Kwema kaka kale katapeli kuselfika aaanh kazi maneno mengi
😂😂Tumekaweza lakini.
Kwema kaka kale katapeli kuselfika aaanh kazi maneno mengi
😂😂
Naunga mkono hoja na picha zake za wanaijeria 😂😂😁😁 aje keselfika Leo kama anajiweza 😂😁😂😂
Tumekaweza lakini.
Asante my dear!
Polee sanaAsante my dear!
🙏
Mkuu pole sana..Asante my dear!
🙏
Asante 🙏Pole sana..
AsanteMkuu pole sana..
Au sioHizi picha ni watu watatu tofauti
Ajui kuwa sisi ndio wakongwe wa hizi kazi😂😂
Tumekaweza lakini.
Mtoto mdogo..Ajui kuwa sisi ndio wakongwe wa hizi kazi
Yeye na yule mwenzie naona jana katolewa humu maana aselfiki anakuja kujaza maneno tu humu 😁😂😂😎Mtoto mdogo..
Yeye na yule mwenzie naona jana katolewa humu maana aselfiki anakuja kujaza maneno tu humu 😁😂😂😎

Wanashindana na heavyweight..Nimedownload nyingine..Nimefika
Kumbe una kitambi!Nimedownload nyingine..
View attachment 3038336
Suala la kitambi unanisingizia..Kumbe una kitambi!
Nisikuone unanicheka kitambi changu
Hapo nchi gani? Huo upepo sio wa Bongo

ni jacket la winter..
Nchi?Suala la kitambi unanisingizia..ni jacket la winter..